Makato na vikomo (vinawekwa na admin)
- Makato ya huduma: 10% kwa kila mauzo
- Ada ya kutoa: 0%
- Kutoa chini: TSH 5,000
- Kutoa juu/ombi: TSH 5,000,000
- Kikomo/siku: TSH 5,000,000
- Maombi/siku: 3
Maombi ya kutoa yanakaguliwa na admin kabla ya kulipwa. Ombi likikataliwa, pesa inarudi kwenye Balance yako.